Ni Nani Sisi?
Who We Are?
JSH CLINCH ni shirika la kifedha na biashara linalolenga kuweza jamii kupitia huduma mbalimbali za kifedha, elimu ya uwekezaji, na fursa za biashara. Tumeanzishwa kwa lengo la kuongeza upatikanaji wa huduma za kifedha kwa watu wa tabaka la kati na wadogo, hasa katika maeneo ya vijijini na mijini ya Tanzania.
JSH CLINCH is a financial and business organization that aims to empower communities through various financial services, investment education, and business opportunities. We were established with the goal of increasing access to financial services for middle and lower-income people, especially in rural and urban areas of Tanzania.
Kwa miaka kadhaa, tumekuwa tukitoa huduma za AZAMPESA, AZAM TV, SELCOM, bima, na programu za microfinance ambazo zimesaidia maelfu ya watu kukua kifedha na kibiashara. Tunaaminika na jamii kwa sababu ya uwazi wetu, huduma za ubora, na uongozi wa kijamii.
For several years, we have been providing AZAMPESA, AZAM TV, SELCOM, insurance, and microfinance programs that have helped thousands of people grow financially and in business. We are trusted by the community because of our transparency, quality services, and community leadership.