Katika JSH Clinch, tunathamini mawasiliano ya karibu na wateja wetu. Iwe unahitaji huduma zetu, ushauri wa kifedha, mafunzo ya uwekezaji au kutaka kujiunga na Clinch Life Microfinance Group, tupo tayari kwa msaada wowote. At JSH Clinch, we value close communication with our customers. Whether you need our services, financial advice, investment training or want to join the Clinch Life Microfinance Group, we are ready for any assistance.

Jinsi ya Kuwasiliana Nasi How to Contact Us

Mitandao ya Kijamii: Social Media:

Tufuate pia kupitia mitandao ya kijamii Follow us on social media too

🕐 Muda wa Kufungua: 🕐 Opening Hours:

Jumapili: Sunday: saa 3:00 Asubuhi hadi 11:45 jioni 9:00 AM to 11:45 PM
Jumatatu - Ijumaa: Monday to Friday: 2:00 Asubuhi hadi 11:45 Jioni 2:00 AM to 11:45 PM
Jumamosi: Saturday: Hatufungui kabisa ni Sabato Closed (Sabbath)

Tuma Ujumbe Moja kwa Moja Send a Direct Message

Unahitaji msaada wa haraka? Tuma ujumbe kupitia fomu hii: Need quick help? Send a message through this form:

Tunajibu ujumbe wote ndani ya saa 24. We respond to all messages within 24 hours.

Jiunge na Kundi la Microfinance Join the Microfinance Group

👉 Ikiwa unataka kujiunga na kikundi cha kifedha cha Clinch Life, unaweza pia kuwasiliana nasi moja kwa moja kupitia fomu hapo juu au kwa kupiga simu. Tutasajili jina lako, kukupa maelezo, na kuanza safari ya kuwekeza na kuweka akiba salama. 👉 If you want to join the Clinch Life financial group, you can also contact us directly through the form above or by calling. We will register your name, give you information, and start your journey of safe investment and savings.

Tupatane Find Us

Mahali pa Ofisi Office Location

Dodoma, Mtaa wa 7 karibu na DTB bank & Vunja Bei btn Dodoma, Street 7 near DTB bank & Vunja Bei btn

Fungua Google Maps Open Google Maps

🚨 Mawasiliano ya Dharura 🚨 Emergency Contact

Kwa maswala ya dharura au matatizo ya haraka ya huduma, wasiliana nasi moja kwa moja: For emergency issues or urgent service problems, contact us directly: